Fito za kuhesabu
- Jacqueline Mwombeki
- Apr 5
- 6 min read
Updated: 7 days ago
Na Jacqueline Mwombeki
Vifaa:
Vipande 10 vya fito zenye urefu unaotofautiana huku ufito wa kwanza ukiwa na urefu wa sentimeta 10 na ufito wa kumi ukiwa na urefu wa sentimeta 100. Ufito wa kwanza una rangi nyekundu na fito zinazosalia zina rangi mbili tu yaani nyekundu na bluu/samawati zinazojirudia kuonyesha kiasi kilichomo katika kila ufito.
Want to read more?
Subscribe to montessori-tanzania.com to keep reading this exclusive post.