top of page

Kila mzazi hupenda afanikiwe katika malezi. Na ili kufikia mafanikio hayo huitaji kupata majukwa yenye taarifa sahihi zinazohusu elimu, malezi na makuzi ya mtoto. Mara nyingi watu hawapati chombo kinachozungumzia changamoto za malezi katika jamii na elimu ya jinsi ya gani ya kutatua changamoto hizo. Kupitia jukwaa hili utapata makala zenye mwendelezo, elimu zinazoacha funzo kwa msomaji na mbinu shirikishi katika kulea ambavyo vitatoa mchango mkubwa na ulio chanya. “Uwepo wa mitandao ya kijamii umeifanya jamii kufikiwa na taarifa kwa uharaka zaidi na kwa gharama nafuu.” (Karibu uwe mmoja wa familia yetu kwa kujisajili sasa.)

Chagua huduma yako

  • Kwa wiki

    3,000TSh
    Valid for one week
    • Kwa siku 7
    • Pata ufikiaji usio na kikomo wa yaliyomo
    • Pokea makala za wiki hiyo
    • Soma kuhusu njia ya Montessori
  • Kwa mwezi

    6,000TSh
    Valid for one month
    • Kwa mwezi mzima
    • Pata ufikiaji usio na kikomo wa yaliyomo
    • Pokea makala yote ya kipekee
    • Soma maudhui ya ubora kutoka kwa falsafa ya Montessori
  • Kwa mwaka

    90,500TSh
    Valid for 12 months
    • Kwa mwaka mzima
    • Pata ufikiaji usio na kikomo wa yaliyomo
    • Pokea makala yote ya kipekee
bottom of page