Ukaangaji wa samaki bila kupoteza virutubisho (safari yetu Kashozi VTC)Anord JovinAug 41 min readUpdated: Aug 13Kutana na wanafunzi fani ya mapishi katika chuo cha Kashozi VTC kilichoko halmashauri ya Bukoba mkoani Kagera wakionesha weledi wa katika mapishi, katika awamu ya kwanza wanatufundisha namna ya kumkaanga samaki pasipo kupoteza virutubisho
Comments