top of page

Msamaha ni nuru ya amani ya moyo

Updated: 7 days ago

Na Anord Kailembo

Kulingana na mfumo wa maisha ya binadamu ulivyo, ni ngumu kuishi bila binadamu wenyewe kutofautiana na kukoseana, na hii ni kutokana na kwamba kila mmoja amepewa fikra na uwezo tofauti wa namna ya kuongoza maisha yake yanayotofautiana na mwingine.

Want to read more?

Subscribe to montessori-tanzania.com to keep reading this exclusive post.

bottom of page