Chipsi tamu lakini...
- Anord Jovin
- Dec 5, 2024
- 5 min read
Updated: May 19
Na Anord Kailembo

Kwa miaka ya hivi karibuni chipsi imekuwa moja ya vyakula pendwa kwa watanzania hasa wanawake na watoto, kupendwa kwa chakula hicho siyo kwa sababu ya utamu wake utokanao na aina ya viungo vinavyotumika kuiandaa ikiwemo mayai, viazi, mafuta, chumvi na vingine lakini pia imekuwa pendwa kutokana na kutengenezwa au kupatikana kwa urahisi.
Want to read more?
Subscribe to montessori-tanzania.com to keep reading this exclusive post.