Je wayafahamu haya kuhusu uvivu?Jul 10, 20251 min readUpdated: Jul 11, 2025https://video.wixstatic.com/video/33fdd6_117c081994d64fb68d34e6755d7959bf/1080p/mp4/file.mp4Yawezekana unafahamu maana ya neno Uvivu lakini pengine hujafahamu kama baadhi ya mambo ni dalili ya uvivu, msikilize Mwinjilist Elisa Kaimukilwa akimzungumzia mtu mvivu.zembe, Ungana na Mwinjilist Elisa Kaimukilwa akiuzungumzia uvivu na mvivu.
Comments