Ukiziwi ulifanya nikatishe masomo na kuwa mkulima.
- Wariyoba Wariyoba
- Apr 14
- 5 min read
Updated: May 16
Na Waryoba M Waryoba, Mara
Abel Yohana mwenye umri wa miaka 57 ni mkulima kwa sasa ambaye anaeleza kuwa alilazimika kuacha shule akiwa darasa la tano mwaka 1978 baada ya masikio yake kuziba ghafla kwani aliona anachofundishwa darasani hakuna anachokisikia.
Want to read more?
Subscribe to montessori-tanzania.com to keep reading this exclusive post.