Msaikolojia Eakuze akitoa elimu ya kujifanyia tathimini katika ujasiliamali unaoufanya, ni wakati alipokuwa akizungumza na wanawake wajasiliamali wa Kashozi halmashauri ya Bukoba.
Katika ulimwengu wa kazi na ajira, mara nyingi watu huzingatia sana mishahara, vyeo, au mazingira ya kimwili ya ofisi kama vile majengo, samani na vifaa vya kazi, hata hivyo, kuna kipengele kimoja muh
Comments