top of page

Hii hapa historia ya hayati Rugambwa askofu mkuu.

Kufuatia kifo cha balozi wa papa askofu mkuu Rugambwa kilichotokea septemba 16 mwaka huu montessori Tanzania imezungumza na askofu mstaafu Methodius Kilaini ili kufahamu historia yake. Ni mtanzania wa kwanza kupata nafasi ya ubalozi wa papa.

Comments


bottom of page