top of page

Binti miaka 18 aliyebeba ndoto ya mabinti wenzie

  • Jan 18
  • 1 min read
Binti Domitina Audax miaka 18 mkazi wa Butelankuzi wilayani Bukoba akieleza namna anavyochukizwa na hali ya mabinti kukosa utambuzi na muongozo wa maisha suala linalopelekea kukwamisha ndoto zao, ana ndoto ya kuanzisha shirika la kuwawezesha kifikra mabinti tangu wakiwa watoto ili wajue kujithamini, kujisimamia na kukabiliana na changamoto hasi zinazowasibu.

 
 
 

Related Posts

See All
Amani kazini na ufanisi katika mafanikio ya taasisi

Katika ulimwengu wa kazi na ajira, mara nyingi watu huzingatia sana mishahara, vyeo, au mazingira ya kimwili ya ofisi kama vile majengo, samani na vifaa vya kazi, hata hivyo, kuna kipengele kimoja muh

 
 
 

Comments


bottom of page