top of page

Sheria ya kushika mpira kwa mkono (handball) kulegezwa kidogo.

Updated: May 16

Na Denis Hiralius

Kwa mujibu wa afisa wa waamuzi  ligi kuu nchini Uingereza Howard Webb,  ameeleza kuwa wachezaji wa ligi kuu ya England wamefahamishwa kwamba hawatalazimika kusogea huku mikono yao itatakiwakuwa pembeni au nyuma ya migongo yao, sehemu ambapo mikono yao itakapokuwa wakati wanaruka itaamuliwa na jinsi viungo vingine vya mwili vitakavyosogezwa.

Want to read more?

Subscribe to montessori-tanzania.com to keep reading this exclusive post.

bottom of page