Matumizi ya zana kwa shule za serikali
- Anord Jovin
- Feb 4
- 1 min read
Updated: Apr 17

Moja ya shule za serikali mkoani Kagera ambazo tayari zimeanza kufundisha kwa kuchopeka zana za kimontessori kwa madarasa ya awali lengo ikiwa ni kuboresha ujifunzaji na ufundishaji kwa vitendo.

Comments