top of page

Askofu mkuu Novatus Rugambwa kuzikwa rasmi leo katika kanisa la bikra Maria mama mwenye huruma.

ree

Pichani ni jeneza lililobeba mwili wa askofu mkuu (Balozi wa papa) Novatus Mwijage. Ni ibada ya mazishi ya askofu mkuu Navatus Mwijage kanisa kuu la jimbo la Bukoba la Bikra maria mama mwenye huruma.

ree

Pichani ni baadhi ya waumini wa kanisa katoriki waliojitokeza kushiriki ibada ya mazishi ya askofu mkuu Novatus Rugambwa.

ree

Baadhi ya maaskofu wa kanisa katoriki walioshiriki ibada ya mazishi ya askofu mkuu Novatus Rugambwa.

Comments


bottom of page